Jumamosi 12 Septemba 2026 - 12:54
Hadithi ya Leo | Thwawabu Anazozipata Mja Kutokana na Kuacha Dhambi kwa Ajili ya Mwenyezi Mungu

Hawzah/ Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) katika riwaya anaelezea kuhusu malipo ya kuacha dhambi kwa sababu ya kumwogopa Mwenyezi Mungu.

Shirika la Habari la Hawza, limechapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu «Usul al-Kafi».

Mtume wa Mwenyezi Mungu (saww) anasema:

«مَنْ تَرَکَ مَعْصِیَةً لِلَّهِ مَخَافَةَ اللَّهِ تَبَارَکَ وَتَعَالَی أَرْضَاهُ اللَّهُ یَوْمَ الْقِیَامَةِ.»

“Mwenye kuacha dhambi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, kwa kumwogopa Yeye, Mwenyezi Mungu Mtukufu atamridhisha yeye Siku ya Kiyama.”

Usul al-Kafi, Juzuu ya 3, uk. 128.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha